Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 42:1-4

Isaya 42:1-4 NEN

“Huyu hapa mtumishi wangu, ninayemtegemeza, mteule wangu, ambaye ninapendezwa naye; nitaweka Roho yangu juu yake, naye ataleta haki kwa mataifa. Hatapaza sauti wala kupiga kelele, wala hataiinua sauti yake barabarani. Mwanzi uliopondeka hatauvunja, na utambi unaofuka moshi hatauzima. Kwa uaminifu ataleta haki, hatazimia roho wala kukata tamaa, mpaka atakaposimamisha haki juu ya dunia. Visiwa vitaweka tumaini lao katika sheria yake.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 42:1-4