Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 45:5-6

Isaya 45:5-6 NENO

Mimi ndimi Mwenyezi Mungu, wala hakuna mwingine, zaidi yangu hakuna Mungu. Nitakutia nguvu, ingawa wewe hujanitambua, ili kutoka mawio ya jua hadi machweo yake, watu wapate kujua kwamba hakuna Mungu mwingine ila Mimi. Mimi ndimi Mwenyezi Mungu wala hakuna mwingine.