Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 53:10

Isaya 53:10 NEN

Lakini yalikuwa ni mapenzi ya BWANA kumchubua na kumsababisha ateseke. Ingawa BWANA amefanya maisha yake kuwa sadaka ya hatia, ataona uzao wake na kuishi siku nyingi, nayo mapenzi ya BWANA yatafanikiwa mkononi mwake.