Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 28:15-16

Yeremia 28:15-16 NEN

Kisha nabii Yeremia akamwambia nabii Hanania, “Sikiliza Hanania! BWANA hajakutuma, lakini wewe umelishawishi taifa hili kuamini uongo. Kwa hiyo, hili ndilo asemalo BWANA: ‘Hivi karibuni nitakuondoa kutoka juu ya uso wa dunia. Mwaka huu utakufa, kwa sababu umetangaza uasi dhidi ya BWANA.’ ”