Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 21:18

Yohana 21:18 NEN

Amin, amin nakuambia, ulipokuwa kijana ulivaa na kwenda unakotaka, lakini utakapokuwa mzee utanyoosha mikono yako na mtu mwingine atakuvika na kukupeleka usipotaka kwenda.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 21:18