Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 8:10-11

Yohana 8:10-11 NEN

Yesu akainuka na kumwambia, “Wako wapi wale waliokuwa wanakuhukumu kuwa mwenye hatia?” Yule mwanamke akajibu, “Hakuna hata mmoja Bwana.” Yesu akamwambia, “Hata mimi sikuhukumu. Nenda zako, kuanzia sasa usitende dhambi tena.”]

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 8:10-11