Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 8:31-32

Yohana 8:31-32 NENO

Kisha Isa akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, “Mkidumu katika maneno yangu, mtakuwa wanafunzi wangu kweli kweli. Ndipo mtaijua kweli, nayo kweli itawaweka huru.”