Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yoshua 24:14

Yoshua 24:14 NEN

“Sasa basi mcheni BWANA na kumtumikia kwa uaminifu wote. Itupeni mbali miungu ambayo baba zenu waliiabudu huko ngʼambo ya Mto Frati na huko Misri, nanyi mtumikieni BWANA.