Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Walawi 23:3

Walawi 23:3 NEN

“ ‘Kuna siku sita mnazoweza kufanya kazi, lakini siku ya saba ni Sabato ya kupumzika, siku ya kusanyiko takatifu. Hamtafanya kazi yoyote. Popote mnapoishi, ni Sabato kwa BWANA.