Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 13:23

Mathayo 13:23 NEN

Lakini ile mbegu iliyopandwa kwenye udongo mzuri ni yule mtu ambaye hulisikia neno na kulielewa. Naye hakika huzaa matunda, akizaa mara mia, au mara sitini, au mara thelathini ya mbegu iliyopandwa.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 13:23