Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 17:20

Mathayo 17:20 NEN

Akawajibu, “Kwa sababu ya imani yenu ndogo. Ninawaambia kweli, mkiwa na imani ndogo kama punje ya haradali, mtauambia mlima huu, ‘Ondoka hapa uende pale,’ nao utaondoka. Wala hakutakuwa na jambo lisilowezekana kwenu. [

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 17:20