Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 23:25

Mathayo 23:25 NEN

“Ole wenu, walimu wa sheria na Mafarisayo, ninyi wanafiki! Kwa maana mnasafisha kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani mmejaa unyangʼanyi na kutokuwa na kiasi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 23:25