Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 26:14-15

Mathayo 26:14-15 NENO

Kisha mmoja wa wale wanafunzi kumi na wawili, aitwaye Yuda Iskariote, alienda kwa viongozi wa makuhani na kuuliza, “Mtanipa nini nikimtia Isa mikononi mwenu?” Wakamlipa vipande thelathini vya fedha.