Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 6:19-21

Mathayo 6:19-21 NEN

“Msijiwekee hazina duniani, mahali ambapo nondo na kutu huharibu, nao wevi huvunja na kuiba. Lakini jiwekeeni hazina mbinguni, mahali ambapo nondo na kutu haviharibu, wala wevi hawavunji na kuiba. Kwa sababu mahali hazina yako ilipo, hapo ndipo pia moyo wako utakapokuwa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 6:19-21