Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 7:15-16

Mathayo 7:15-16 NEN

“Jihadharini na manabii wa uongo, wanaowajia wakiwa wamevaa mavazi ya kondoo, lakini ndani ni mbwa mwitu wakali. Mtawatambua kwa matunda yao. Je, watu huchuma zabibu kwenye miiba, au tini kwenye michongoma?

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 7:15-16