Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 5:25-26

Marko 5:25-26 NEN

Hapo palikuwa na mwanamke aliyekuwa amesumbuliwa na tatizo la kutokwa damu kwa miaka kumi na miwili. Mwanamke huyu alikuwa ameteseka sana kwa mikono ya matabibu wengi, na kutumia kila kitu alichokuwa nacho. Lakini badala ya kupona, hali yake ilizidi kuwa mbaya.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 5:25-26