Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 5:35-36

Marko 5:35-36 NEN

Alipokuwa bado anaongea, watu wakafika kutoka nyumbani kwa Yairo. Wakamwambia, “Binti yako amekufa. Kwa nini kuendelea kumsumbua Mwalimu?” Aliposikia hayo waliyosema, Yesu akamwambia huyo kiongozi wa sinagogi, “Usiogope. Amini tu.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 5:35-36