Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 61:1-2

Zaburi 61:1-2 NEN

Ee Mungu, sikia kilio changu, usikilize maombi yangu. Kutoka miisho ya dunia ninakuita, ninaita huku moyo wangu unadhoofika; uniongoze kwenye mwamba ule ulio juu kuliko mimi.