Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 8:3-4

Zaburi 8:3-4 NEN

Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako, mwezi na nyota, ulizoziratibisha, mwanadamu ni kitu gani hata unamfikiria, binadamu ni nani hata unamjali?