Warumi 12:9-12
Warumi 12:9-12 NENO
Upendo lazima usiwe na unafiki. Chukieni lililo ovu, shikamaneni na lililo jema. Pendaneni ninyi kwa ninyi kwa upendo wa ndugu. Waheshimuni na kuwatanguliza wengine. Msiwe wavivu, bali mwe na bidii katika roho mkimtumikia Bwana Isa. Kuweni na furaha katika tumaini, katika dhiki kuweni na saburi, dumuni katika maombi.