Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 11:23-24

1 Kor 11:23-24 SUV

Kwa maana mimi nalipokea kwa Bwana niliyowapa nanyi, ya kuwa Bwana Yesu usiku ule aliotolewa alitwaa mkate, naye akiisha kushukuru akaumega, akasema, Huu ndio mwili wangu ulio kwa ajili yenu; fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu.

Soma 1 Kor 11

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 11:23-24