Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 12:4-6

1 Kor 12:4-6 SUV

Basi pana tofauti za karama; bali Roho ni yeye yule. Tena pana tofauti za huduma, na Bwana ni yeye yule. Kisha pana tofauti za kutenda kazi, bali Mungu ni yeye yule azitendaye kazi zote katika wote.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 12:4-6