Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yoh 5:3-4

1 Yoh 5:3-4 SUV

Kwa maana huku ndiko kumpenda Mungu, kwamba tuzishike amri zake; wala amri zake si nzito. Kwa maana kila kitu kilichozaliwa na Mungu huushinda ulimwengu; na huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu, hiyo imani yetu.

Soma 1 Yoh 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yoh 5:3-4