Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Tim 2:8-10

1 Tim 2:8-10 SUV

Basi, nataka wanaume wasalishe kila mahali, huku wakiinua mikono iliyotakata pasipo hasira wala majadiliano. Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani; bali kwa matendo mema, kama iwapasavyo wanawake wanaoukiri uchaji wa Mungu.

Soma 1 Tim 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Tim 2:8-10