Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Tim 3:12-13

1 Tim 3:12-13 SUV

Mashemasi na wawe waume wa mke mmoja, wakiwasimamia watoto wao vizuri, na nyumba zao. Kwa maana watendao vema kazi ya shemasi hujipatia daraja nzuri, na ujasiri mwingi katika imani iliyo katika Kristo Yesu.

Soma 1 Tim 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Tim 3:12-13