Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 The 1:6-7

2 The 1:6-7 SUV

Kwa kuwa ni haki mbele za Mungu kuwalipa mateso wale wawatesao ninyi; na kuwalipa ninyi mteswao raha pamoja na sisi; wakati wa kufunuliwa kwake Bwana Yesu kutoka mbinguni pamoja na malaika wa uweza wake

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 The 1:6-7