Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 1:10-11

Mdo 1:10-11 SUV

Walipokuwa wakikaza macho mbinguni, yeye alipokuwa akienda zake, tazama, watu wawili wakasimama karibu nao, wenye nguo nyeupe, wakasema, Enyi watu wa Galilaya, mbona mmesimama mkitazama mbinguni? Huyu Yesu aliyechukuliwa kutoka kwenu kwenda juu mbinguni, atakuja jinsi iyo hiyo mlivyomwona akienda zake mbinguni.

Soma Mdo 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 1:10-11