Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kum 30:17-18

Kum 30:17-18 SUV

Lakini moyo wako ukikengeuka, usipotaka kusikiza, lakini ukavutwa kando kwenda kuabudu miungu mingine, na kuitumikia; nawahubiri hivi leo hakika mtaangamia; hamtazifanya siku zenu kuwa nyingi juu ya nchi, uivukiayo Yordani, uingie kuimiliki.

Soma Kum 30

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kum 30:17-18