Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 15:23-25

Kut 15:23-25 SUV

Walipofika mahali palipoitwa Mara hawakupata kuyanywa yale maji ya Mara, kwa kuwa yalikuwa machungu; kwa ajili ya hayo jina lake likaitwa Mara. Ndipo watu wakamnung’unikia Musa, wakisema, Tunywe nini? Naye akamlilia BWANA; BWANA akamwonyesha mti, naye akautia katika hayo maji, maji yakawa matamu. Basi akawawekea amri na hukumu huko, akawaonja huko

Soma Kut 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 15:23-25