Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 19:5-6

Kut 19:5-6 SUV

Sasa basi ikiwa mtaitii sauti yangu kweli kweli, na kulishika agano langu, hapo ndipo mtakapokuwa tunu kwangu kuliko makabila yote ya watu; maana dunia yote pia ni mali yangu, nanyi mtakuwa kwangu ufalme wa makuhani, na taifa takatifu. Hayo ndiyo maneno utakayowaambia wana wa Israeli.

Soma Kut 19

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 19:5-6