Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 8:18-19

Kut 8:18-19 SUV

Hao waganga nao wakafanya mfano wa hayo kwa uganga wao, ili kwamba walete chawa, lakini wasiweze; nako kulikuwa na chawa juu ya wanadamu, na juu ya wanyama. Ndipo wale waganga wakamwambia Farao, Jambo hili ni chanda cha Mungu; na moyo wake Farao ukawa mgumu asiwasikize; vile vile kama BWANA alivyonena.

Soma Kut 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 8:18-19