Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Eze 33:6

Eze 33:6 SUV

Bali mlinzi akiona upanga unakuja, kama hapigi tarumbeta, wala watu hawakuonywa, na upanga ukaja ukamwondoa mtu awaye yote miongoni mwao; ameondolewa huyo katika uovu wake, lakini damu yake nitaitaka mkononi mwa mlinzi huyo.

Soma Eze 33

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Eze 33:6