Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Eze 8:3

Eze 8:3 SUV

Naye akanyosha mfano wa mkono, akanishika kwa kishungi kimoja cha nywele za kichwa changu; nayo roho ikaniinua kati ya dunia na mbingu, ikanileta katika maono ya Mungu mpaka Yerusalemu, mpaka mlango wa kuingilia ua wa ndani uelekeao upande wa kaskazini; mahali palipokuwa pamewekwa sanamu ya wivu, itiayo wivu.

Soma Eze 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Eze 8:3