Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Eze 9:3-4

Eze 9:3-4 SUV

Na huo utukufu wa Bwana wa Israeli ulikuwa umepanda juu kutoka kwa kerubi, ambaye ulikuwa juu yake, mpaka kizingiti cha nyumba; akamwita mtu yule aliyekuwa amevaa bafta, mwenye kidau cha wino cha mwandishi kiunoni. BWANA akamwambia, Pita kati ya mji, kati ya Yerusalemu, ukatie alama katika vipaji vya nyuso vya watu wanaougua na kulia kwa sababu ya machukizo yote yanayofanyika kati yake.

Soma Eze 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Eze 9:3-4