Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 41:39-40

Mwa 41:39-40 SUV

Farao akamwambia Yusufu, Kwa kuwa Mungu amekufahamisha hayo yote, hapana mwenye akili na hekima kama wewe. Basi wewe utakuwa juu ya nyumba yangu, na kwa neno lako watu wangu watatawaliwa. Katika kiti cha enzi tu nitakuwa mkuu kuliko wewe.

Soma Mwa 41

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 41:39-40