Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 45:3

Mwa 45:3 SUV

Yusufu akawaambia ndugu zake, Mimi ndimi Yusufu; baba yangu angali hai bado? Wala ndugu zake hawakuweza kumjibu, maana waliingiwa na hofu mbele yake.

Soma Mwa 45

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 45:3