Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hos 2:19-20

Hos 2:19-20 SUV

Nami nitakuposa uwe wangu kwa milele; naam, nitakuposa kwa haki, na kwa hukumu, na kwa ufadhili, na kwa rehema. Nami nitakuposa kwa uaminifu; nawe utamjua BWANA.

Soma Hos 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hos 2:19-20