Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Law 26:1

Law 26:1 SUV

Msifanye sanamu yo yote, wala msijisimamishie sanamu ya kuchonga, wala mnara, wala msiweke jiwe lo lote lililochorwa katika nchi yenu ili kulisujudia; kwa kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Law 26:1