Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 6:38

Lk 6:38 SUV

Wapeni watu vitu, nanyi mtapewa; kipimo cha kujaa na kushindiliwa, na kusukwa-sukwa hata kumwagika, ndicho watu watakachowapa vifuani mwenu. Kwa kuwa kipimo kile kile mpimacho ndicho mtakachopimiwa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 6:38