Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 19:4-5

Mt 19:4-5 SUV

Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke, akasema, Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja?

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 19:4-5