Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 22:17-20

Mit 22:17-20 SUV

Tega sikio lako uyasikie maneno ya wenye hekima, na kuuelekeza moyo wako kwa maarifa yangu; maana ni vizuri kuyahifadhi ndani yako, hali yakithibitika pamoja midomoni mwako. Ili matumaini yako uyaweke kwa BWANA, leo nimekujulisha wewe haya, naam, wewe. Je! Sikukuandikia mambo makuu juu ya mashauri na juu ya maarifa

Soma Mit 22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 22:17-20