Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 3:5-8

Mit 3:5-8 SUV

Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako. Usiwe mwenye hekima machoni pako; Mche BWANA, ukajiepushe na uovu. Itakuwa afya mwilini pako, Na mafuta mifupani mwako.

Picha za Aya za Mit 3:5-8

Mit 3:5-8 - Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote,
Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;
Katika njia zako zote mkiri yeye,
Naye atayanyosha mapito yako.
Usiwe mwenye hekima machoni pako;
Mche BWANA, ukajiepushe na uovu.
Itakuwa afya mwilini pako,
Na mafuta mifupani mwako.Mit 3:5-8 - Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote,
Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;
Katika njia zako zote mkiri yeye,
Naye atayanyosha mapito yako.
Usiwe mwenye hekima machoni pako;
Mche BWANA, ukajiepushe na uovu.
Itakuwa afya mwilini pako,
Na mafuta mifupani mwako.