Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 13:14-15

Ufu 13:14-15 SUV

Naye awakosesha wale wakaao juu ya nchi, kwa ishara zile alizopewa kuzifanya mbele ya huyo mnyama, akiwaambia wakaao juu ya nchi kumfanyia sanamu yule mnyama, aliyekuwa na jeraha la upanga naye akaishi. Akapewa kutia pumzi katika ile sanamu ya mnyama, hata ile sanamu ya mnyama inene, na kuwafanya hao wote wasioisujudu sanamu ya mnyama wauawe.

Soma Ufu 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 13:14-15