Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 3:7-8

Matendo 3:7-8 SRUVDC

Akamshika mkono wa kulia, akamwinua, mara nyayo zake na vifundo vya miguu yake vikatiwa nguvu. Akaondoka upesi akasimama, akaanza kwenda; akaingia ndani ya hekalu pamoja nao, akienda, akirukaruka, na kumsifu Mungu.

Soma Matendo 3