Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 1:26-27

Mwanzo 1:26-27 SRUVDC

Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila kiumbe kitambaacho nchini. Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.

Soma Mwanzo 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 1:26-27