Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yohana 1:1-4

1 Yohana 1:1-4 SRUV

Lile lililokuwako tangu mwanzo, tulilolisikia, tuliloliona kwa macho yetu, tulilolitazama, na mikono yetu ikalipapasa, kuhusu Neno la uzima; (na uzima huo ulidhihirika, nasi tumeona, tena tunashuhudia, na kuwahubiria ninyi ule uzima wa milele, uliokuwa kwa Baba, ukadhihirika kwetu); hilo tuliloliona na kulisikia, tunawahubiria na ninyi; ili nanyi pia mpate kushirikiana nasi: na ushirika wetu ni pamoja na Baba, na pamoja na Mwana wake Yesu Kristo. Na haya tunayaandika, ili furaha yetu itimizwe.

Soma 1 Yohana 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yohana 1:1-4