Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yohana 4:3

1 Yohana 4:3 SRUV

Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.

Soma 1 Yohana 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yohana 4:3