Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Petro 1:6-7

1 Petro 1:6-7 SRUV

Mnafurahi sana wakati huo, ijapokuwa sasa kwa muda mfupi, ikiwa ni lazima, mmehuzunishwa kwa majaribu ya namna mbalimbali; ili kwamba kujaribiwa kwa imani yenu, ambayo ina thamani kuu kuliko dhahabu ipoteayo, ijapokuwa hiyo hujaribiwa kwa moto, kuonekane kuwa kwenye sifa na utukufu na heshima, katika kufunuliwa kwake Yesu Kristo.

Soma 1 Petro 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Petro 1:6-7