Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wafalme 22:20

2 Wafalme 22:20 SRUV

Kwa hiyo tazama, nitakukusanya pamoja na baba zako, nawe utawekwa kaburini mwako kwa amani; wala macho yako hayatauona uovu huo wote nitakaouleta juu ya mahali hapa. Basi wakamletea mfalme habari tena.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wafalme 22:20