Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 14:9-10

Matendo 14:9-10 SRUV

Mtu huyo alimsikia Paulo alipokuwa akinena; naye Paulo akamkazia macho na kuona ya kuwa ana imani ya kuponywa, akasema kwa sauti kuu, Simama kwa miguu yako sawasawa. Akasimama upesi akaenda.

Soma Matendo 14

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 14:9-10